MAREHEMU ISAAC SEPETU AKIWA NA MKEWE, WAKIMLISHA KEKI MWANAYE WEMA SEPETU MARA BAADA YA KUIBUKA NA TAJI LA MISS TANZANIA MWAKA 2006 |
Balozi Isaac Abraham Sepetu ambaye ni baba wa
mwanadada Wema Sepetu amefariki dunia.
Taarifa zilizoifikia SALEHJEMBE
zimeeleza Balozi Sepetu amefariki dunia leo asubuhi.
Alikuwa amelazwa katika Hospitali ya TMJ
kabla ya mauti kumkuta.
Hadi mauti yanamkuta Sepetu alikuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya bodi ya mamlaka ya Uwekezaji na vitega uchumi Zanzibar.
Hadi mauti yanamkuta Sepetu alikuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya bodi ya mamlaka ya Uwekezaji na vitega uchumi Zanzibar.
0 COMMENTS:
Post a Comment