Kipa wa zamani wa Manchester United na timu ya taifa ya Ufaransa, Fabien
Barthez ameamua kuingia katika mashindano yam bio za magari na kufanikiwa
kushinda mashindano yajulikanayo kama France.
Barthez akiwa na Morgan Moullin waliunda timu ya ASP na kufanikiwa
kushinda baada ya kumaliza katika nafasi ya nane na tano katika mikimbio
tofauti, mwisho wakatawazwa kuwa moja ya madereva washindi kutokana na pointi
zao.
Kipa huyo aliyewahi kubeba Kombe la Dunia akiwa na Ufaransa,
amekuwa mmoja wa madereva nyota katika mashindano ya magari.
0 COMMENTS:
Post a Comment