XABI AKIWA NA ISCO |
Kocha Jose Mourinho wa Chelsea ameeleza nia yake ya kumnasa kiungo nyota wa
Real Madrid, Xabi Alonso.
Mourinho amesema anataka kumnasa Alonso wakati wa dirisha la
usajili litakapofunguliwa Januari mwakani.
Alonso amefanya kazi na Mourinho alipokuwa Real Madrid kabla ya
kurejea London na kuifundisha Chelsea kwa mara ya pili.
Wakati huo mkataba wa Alonso utakuwa umekwisha na itakuwa biashara
kati ya Chelsea na kiungo huyo.
Alonso aliyerejea Madrid mwaka 2009 kwa dau la pauni milioni 30, raia
Hispania ndiye anaonekana ni tatizo la Madrid kwa kipindi hiki kwa kuwa hawana
kiungo mkabaji anayeweza kucheza katika kiwango chake.
0 COMMENTS:
Post a Comment