October 28, 2013




Mshambuliaji nyota wa Barcelona, Lionel Messi ameamua kujipongeza ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Real Madrid kwa kuchoma nyama 'nyama choma' na kuwaalika marafiki zake.


Messi alifanya kazi hiyo juzi jioni jijini Barcelona na kuwaeleza kwamba furaha yake inatokana na ushindi huo wa El Clasico.

Hata hivyo, Muargentina huyo hakung'ara katika mechi hiyo kama ilivyokuwa kwa Neymar.

Bado Messi aliamua kujipongeza kwa nyama hiyo ya kuchoma, maarufu kama nyama choma hasa mitaa ya jiji la Dar.

Mabao ya Barcelona katika El Clasico hiyo ya kwanza msimu huu yalifungwa na Neymar na Alexis.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic