October 15, 2013



Kiungo nyota wa Newcastle, Loic Remy amepata ajali na gari lake aina ya Audi R8 limeharibika kabisa sehemu ya mlango.


Gari hilo lenye thamani ya pauni 100,000 (zaidi ya Sh milioni 250) limeharibika baada ya Remy kugongana na taxi.

Dereva taxi aliyekuwa anaendesha gari hilo aina ya Fiat ambaye alilalamika kwamba ameshindwa kufanya kazi.

“Gari langu limeharibika kabisa, siwezi kufanya kazi. Najua Remy atapata huko kwa kuwa ujira wake unamruhusu,” alisema.


Ilielezwa, Remy raia wa Ufaransa alilazimika kutokea kwenye mlango wa abiria akilalamika maumivu ya mguu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic