April 30, 2021


 IKIWA leo Yanga inamenyana na Tanzania Prisons kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora Kombe la Shirikisho ni rasmi itawakosa nyota wake sita kutokana na sababu mbalimbali.


Mchezo wa leo unakuwa ni wa pili kwa Kocha Mkuu, Nassredine Nabi kukaa kwenye benchi baada ya ule wa kwanza kuwa dhidi ya Azam FC na ubao ulisoma Yanga 0-1 Azam FC.

Hawa hapa nyota sita ambao wataukosa mchezo wa leo:-


Dickson Job yeye ni beki wa kati anasumbuliwa na nyama za paja.

Tuisila Kisinda yeye anasumbuliwa na bega.

Yassin Mustapha Majeruhi

Tonombe Mukoko anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano.

Michael Sarpong  anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano.

Feisal Salum anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic