May 31, 2018



Kikosi cha Yanga kimeondoka leo jijini Dar es Salaam na tayari kimewasili jijini Nairobi tayari kwa safari ya kwenda Nakuru.

Yanga wamekwenda kushiriki michuano ya SportPesa Super Cup 2018 inayofanyika mjini Nakuru, Kenya kuanzia Juni 3-10.

Michuano hiyo itafanyika kwenye Uwanja wa Afraha na tayari Simba, JKU wameishatangulia Kenya.


Yanga imeondoka bila ya nyota wake kibao wakiwemo Papy Tshishimbi na Kelvin Yondani.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic