November 9, 2013

BACUNA (KULIA) AKISHANGILIA

Leandro Bacuna na Aleksandar Kozak ndiyo wameifungia mabao mawili Aston Villa ambayo imefanikiwa kuiangusha Cardiff kwa mabao 2-0.


Ingawa ilionekana Cardiff ingeweza kuhimili vishindo hadi mwisho katika mchezo huo wa Ligi Kuu England kwenye Uwanja wa Villa Park, Bacuna na Kozak walibadilisha mambo na kuwafanya wageni waondoke vichwa chini.


Aston Villa: Guzan, Clark, Vlaar, Baker, Bacuna, Sylla,
Westwood, El Ahmadi (Lowton 74), Tonev, Kozak, Benteke. Subs not used: Helenius, Steer, Herd, Bowery, Johnson, Robinson. 

Cardiff: Marshall, Theophile-Catherine, Caulker, Turner,
Taylor, Medel, Cowie, Gunnarsson (Mutch 65), Whittingham, Bellamy (Maynard 82), Odemwingie (Campbell 55). Subs not used: Hudson, Kim, Noone, Lewis.
Referee: Martin Atkinson.
Attendance: 35,809






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic