January 5, 2020

14 COMMENTS:

  1. Goli moja ni kosa la Muzamiru,Simba kama Fraga hatoshi basi watafute kiungo mkabaji wa ukweli kwani eneo hilo ni donda ndugu kwao. Ila la kushangaza Yanga kusheherekea sare wakati Simba ndio wanufaika wakubwa wa sare hiyo kutokana na msimamo wa ligi.

    ReplyDelete
  2. YANGA SARE KWAO NI KAMA USHINDI,SIKU ZOTE YANGA AKIPATA SARE KWA SIMBA ANAJICKIA KAMA KASHINDA,MSIWALAUMU JAMANI NA PIA UZEMBE JANA NI WA MZAMIRU NA MANULA,UNAJUA MANULA NI DONDA NDUGU WATU WANAMSOMA KILA KUKICHA KWANN YEYE KILA SIKU ANAFUNGWA MAGOLI YA AINA MOJA??MAHOLI YA MBALI IMEKUA KAMA NI KAWAIDA YAKE,NINGESHAURI HUYU AWEKWE BENCHI NA KOCHA THEN GOLINI AKAE KAKOLANYA TUPIME UPEPO KWA MECHI KAMA TANO MAANA NAONA MECHI IJAYO KIPIGO KITAIHUSU SIMBA.MANULA AWEKWE BENCHI KWANZA AMEZIDI KUA MZEMBE MNO.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata baba'ko changanya na huko wenu wote msingedaka lile shuti isitoshe kwa nini usimpe hongera yake mpigaji kulikoni kutanguliza ushabiki mbele

      Delete
  3. hayo ndio matokeo ambayo hayakutengemewa na wengi coz washangiliaji wataanza kumlaum manula wakati pale kulifanyika uchawi kabisa ivi mnataka kusema uchawi haupo ety uchawi upo sana kama hakuna uchawi unaweza kuniambia yondana alikuwa na hilizi ya nini lakin pia mshabiki was vyura aliingia uwanjan kufanya nini au unataka kuniambia alikuwa anatoka nje akapotea njia?

    ReplyDelete
  4. Mikia mnachekesha sanaaaa.. Mbona hamzungumzii jinsi refa alivyowabeba sanaaa??? Kupata sare dhidi ya timu iliyobebwa mwanzo mwisho ni ushujaa... Endeleeni na mapovu.. Na kwa taarifa yenu hirizi zilitoka kwa babu kagere baada ya yondani kumpora na kumshtakia Bibi jonesia

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha ufala Meaggre, umesahau lile goli la Mkono la Tambwe aliyewabeba ni nani? Leo penat ndo inakutoa povu. Mwambie Bibi ako achezeshe na yeye awape mnachotaka

      Delete
  5. Penalty haikuwa ishu kubwa ila Jonesia alionesha kiwango cha chini sana kumuacha Yondani wakati alistahili kupata red card. Kipindi cha pili baada ya presha ya mashabiki wa Yanga, refa akawa anapeta faulo nyingi walizocheza Yanga. Ni bahati kubwa sana baadhi ya wachezaji kama Kapombe kumaliza mchezo bila majeraha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata goli la pili ni faulo aliyochezewa Mohamed Hussein. Ila yote ni katika kusawazisha makosa ya penalty.

      Delete
    2. Red card haikwepeki hio bodi ya ligi watathmini mchezo na wampe anachostahili.

      Delete
  6. Furaha ya Yanga ni kwakuwa overall tangu Ligi ianze Yanga imemfunga mara nyingi zaidi Simba . Kwa hiyo kwa record za derby , Yanga ni wanufaika

    ReplyDelete
  7. MANULA NI MVINYO WA ZAMANI, VIONGOZI KOCHA BENCHI LA UFUNDI TUWE MAKINI NA MANULA LA SIVYO HATA POINTI TUNAZOWAZIDI YANGA TUTAZIPOTEZA

    ReplyDelete
  8. Yanga alitakiwa kushinda wewe acha ufala,unasemaje kwamba eti yanga ndio amenufaika na droo ya jana wewe hauko sawa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nyie mmebebwa refa kachuna kadi mbili nyekundu. La sivyo mngekula nyingi sana jana. Refa kipindi cha pili alikuwa upande wenu alihisi aliwaonea kwa ile penalti aliyojichanganya.

      Delete
  9. Kawaida nyie mbona uwa mnaingia na matokeo lazima domo lichonge

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic