November 17, 2013





Cameroon imefanikiwa kufuzu kucheza Kombe la Dunia baada ya kuichapa Tunisia kwa mabao 4-1.
 
Mechi ya kwanza timu hizo zilitoka sare bila kufungana na jana Cameroon wakaonekana wako safi zaidi wakiwa nyumbani.

Mabao yalifungwa na Pierre Webo, Moukadjo na mkongwe Jean Makoun akafunga mawili.

Cameroon imekuwa timu ya tatu ya Afrika kujihakikishia kufuzu baada ya Ivory Coast na Nigeria.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic