November 4, 2013


Kiungo Athumani Idd ameshindwa kufanya mazoezi kutokana na kuwa mgonjwa, wakati beki Mbuyu Twite pia hakutokea mazoezini.

Katika mazoezi ya mabingwa hao kwenye Uwanja wa Loyola, Chuji, Twite pamoja na beki wa kulia, Juma Abdul walishindwa kufanya mazoezi.

Abdul peke yake pamoja na Salum Telela ndiyo walifika mazoezini hapo na kuzungumza na daktari wa timu hiyo, Nassor Matuzya.

“Chuji, Twite pia wameshindwa kutokea leo, lakini naendelea kufuatilia afya zao kwa karibu,” alisema daktari huyo.

Hata hivyo alichukua zaidi ya dakika 10 akizungumza na Abdul na Telela kutaka kujua afya zao kabla ya kujiunga na wenzao.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic