November 5, 2013


Mshambuliaji wa Simba, Amissi Tambwe amesema anataka kuendelea kubaki kileleni kwa wafungaji wa Ligi Kuu Bara.


Tambwe ambaye anaongoza kwa mabao ya kufunga amesema atajituma kufunga mabao mengine zaidi ili kuendelea kubaki kileleni.

Mrundi huyo ana mabao tisa ambayo hakuna mshambuliaji mwingine wa timu 13 aliyefikia.

Lakini anafukuzwa kwa karibu na Hamisi Kiiza wa Yanga ambaye alimfikia alipokuwa na mabao manane kabla ya kufunga la tisa dhidi ya Kagera Sugar.

Tambwe amekuwa hana mbwembwe sana lakini uwezo wake wa kufunga mabao umekuwa ni mkubwa sana.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic