November 16, 2013


Makamu mwenyekiti wa zamani wa Simba, Geofrey Nyange ‘Kaburu’ amekuwa kati ya wadau ambao hawakosi mazoezi ya Taifa Stars.


Kaburu anayejulikana kwa ukali wa usajili, hakosekani kwenye mazoezi ya Stars inayojiandaa kucheza na Kenya, Jumanne.

Sasa ni mmoja wa wajumbe wa kamati ya utendaji ya TFF na amekuwa akisifiwa kwa kuwa karibu na timu, mfano mzuri wakati yuko Simba.


Ila wakati mwingine Kaburu naye mazoezi hata haangalii sana, yuko na simu tu. Sijui anawasiliana na nani, au anahifadhi data za wachezaji waliomvutia.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic