November 16, 2013


Mashabiki wengi waliojitokeza kwenye mazoezi ya Taifa Stars inayojiandaa kucheza mechi ya kirafiki na Kenya, Harambee Stars, walionyesha kuvutiwa zaidi na kiungo Mwinyi Kazimoto.


Kazimoto amerejea katika mazoezi ya Stars baada ya msamaha wa Kocha Kim Poulsen kwa kuwa alitoroka na kwenda kufanya majaribio kabla ya kujiunga na Al Markhiya ya daraja la pili nchini Qatar.

Lakini gumzo la leo lilikuwa ni namna alivyong’ara uso wake na rangi ya ngozi yake na wengi walikuwa wakisema ‘amkwiva’ utafikiri alikuwa Ulaya.


“Utafikiri anaishi Ulaya, au lile joto la Uarabuni,” alisema shabiki mmoja huku wengine wakimsikiliza kwa umakini na mjadala ukaendelea.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic