November 4, 2013

SALEH ALLY AKIWA NA KOMBE HILO MAKAO MAKUU YA FIFA JIJINI ZURICH NCHINI USWISS

Kombe la Dunia ambalo litashindaniwa katika michuano itakayofanyika mwakani nchini Brazil litawasili nchini Novemba 29.


Kombe hilo litakuwa katika ziara ya siku kadhaa nchini likipita katika zaidi ya nchi 80.
Ziara hiyo itaendelea hadi hapo michuano hiyo itakayoanza kufanyika katikati ya mwakani nchini Brazil.

Hii ni mara ya tatu kufika hapa nchini likitembezwa jijini Dar es Salaam kwa uenyeji wa kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic