November 7, 2013


GAME OVER
Dk 83, Mcha 'Vialli' Azam FC kwa shuti kali
Dk 76, Yeya tena nusura aifungie Mbeya City bao la nne
GOOOOOO Dk ya 73, Azam wanajichanganya, mpira unamkuta Yeya anafunga bao la tatu...hat trick.


Dk 70, Azam wanamtoa Bocco na nafasi yake inachukuliwa na kinda Kimwaga
GOOOO Dk 59, Bocco anaifungia Azam bao la kusawazishs baada ya kuunganisha krosi ya Kipre
Dk 53, Azam wanaonekana kucharuka zaidi, wanapoteza nafasi mbili
GOOO Dk 50, Yeya anafunga bao la pili baada ya kuunganisha krosi ya MWasapili
Dk 49, Paul Nonga anapiga bonge la shuti lakini linatoka sentimeta chache nje ya lango.


HALF TIME
Dk 30, Mbeya city wanasawazisha kupitia Yeya
Dk 21 Kipre naye anapoteza nafasi na Azam wanaonekana kushambulia zaidi
GOOOO..Dk 13, Mieno anafunga kwa kichwa baada ya kuunganisha mpira wa krosi.
Dk 8&19, timu zinashambuliana kwa zamu na umakini ni mkubwa
Mechi inaendelea kwenye Uwanja wa Azam Complex, Mbagala jijini Dar
Ni kali na ya kusisimua na mashabiki wamejitokeza kwa wingi sana kuliko kawaida.

Timu itakayoshinda leo ndiyo itaongoza ligi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic