November 28, 2013





Ryan Giggs amekipiga kwa dakika 90 katika mechi ya Champions League huku Manchester United ikitoa adhabu kali ya mabao 5-0 kwa wenyeji wake Bayer Leverkusen.
 
Man United imeshinda mabao hayo ikiwa ni siku moja tu baada ya kunusurika kwenye ajali ya ndege wakati ikitua kwenye Uwanja wa Cologne, Ujerumani.

Wayne Rooney pia ameibuka mchezaji bora wa mechi hiyo ambayo mashabiki wa Bayer walishuhudia timu yao ikipokea kipigo kikali ikiwa nyimbani.

Katika mechi hiyo mabao ya man United yalifungwa na Jones 7, Giggs 6; Valencia 7, (Young 80), Kagawa 7, Nani 6; Rooney 8 (Anderson 80).

Katika mechi hiyo mabao ya man United yalifungwa na Jones 7, Giggs 6; Valencia 7, (Young 80), Kagawa 7, Nani 6; Rooney 8 (Anderson 80).

Kingine ambacho kilijitokeza ni kocha wa zamani wa Man United, Alex Ferguson alikuwa uwanjani hapo kushuhudia mechi hiyo.
 





Bayer Leverkusen: Leno 6; Donati 6, Spahic 5, Omer Toprak 6, Can 6; Bender 5 (Kohr 81), Reinartz 7 (Hegeler 70, 6); Rolfes 7, Castro 6, Son Heung-min 7, (Derdiyok 70, 6); Kiessling 6.
Subs not used: Lomb, Stafylidis, Wollscheid, Kruse.
Booked: Kohr.

Manchester United: De Gea 7; Smalling 5, Ferdinand 6, Evans 6, Evra 6 (Buttner 70, 6); Jones 7, Giggs 6; Valencia 7, (Young 80), Kagawa 7, Nani 6; Rooney 8 (Anderson 80).
Subs not used: Lindegaard, Cleverley, Hernandez, Welbeck.
Goals: Valencia 22, Spahic (OG 30), Evans 65, Smalling 77, Nani 88.
Ref: Svein Oddvar Moen 7 (Norway)
Man of the match:  Wayne Rooney.















0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic