November 5, 2013





Wachezaji wa sita wa Arsenal, Waingereza na Wajerumani walishindana kuendesha ndege ya Shirika la Emirates.


Wachezaji Alex Oxlade-Chamberlain, Kieran Gibbs na Carl Jenkinson upande wa England, halafu Wajerumani Lukas Mertesacker, Lukas Podolsk na Mesut Ozil nao walionyesha ujuzi.



Wote walionyesha ujuzi wa kuendesha ndege kubwa aina ya A380 Airbus lakini kwa kutumia kifaa maalum ambacho wakiwa ndani inakuwa ni sawa na kwenye ndege halisi.

Kifaa hicho ambacho hutumika kuwafunza marubani, ilikuwa burudani kwa wachezaji hao ambao walikuwa wamevalia jezi zao zinazoonyesha Emirates ndiyo mdhamini mkuu.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic