Ajali mbaya
ya gari imemuua muigizaji maarufu wa Hollywood, Paul Walker.
Walker
alikuwa anajulikana kupitia filamu za Fast & Furious , amepata ajali hiyo
jana akiwa kwenye gari lenye kasi aina ya Porsche GT lililogonga mti na
kuripuka.
Walker,
40, aliyeshiriki filamu tano kati ya sita za Fast& Furious amepoteza maisha
akiwa katika siti ya abilia baada ya rafiki yake aliyekuwa anaendesha gari hilo
kumshinda na kuuvaa mti huo.
![]() |
| ENZI ZA UTOTO WAKE |




















0 COMMENTS:
Post a Comment