 |
| NAHODHA WA YANGA, CANNAVARO AKIPAMBANA NA SHIBOLI |
Yanga imetoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya
KMKM ya Zanzibar katika mechi ya kirafiki iliyopigwa leo kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar.
Jerry Tegete ndiye aliifungia Yanga bao
la kwanza katika dakika ya 43, Cannavaro akafunga la pili katika dakika ya 47
na Mbuyu Twite ndiye alimaliza mchezo katika dakika ya 83.
Mabao ya KMKM yalifungwa na Haji Simba
katika dakika ya 69 na Shiboli aliyepiga shuti kali katika dakika ya 72 mbili
baada ya kumzidi nguvu Juma Abdul.
.JPG) |
| SHIBOLI AKISHANGILIA BAO ALILOFUNGA |
 |
| KMKM |
 |
| SIMBA WAKIWAZOMEA WATANI WAO YANGA |
 |
| YANGA |
0 COMMENTS:
Post a Comment