Kocha aliyefutwa kazi wa Yanga, Ernie
Brandts ameendelea kushinda ndani muda mwingi.
Brandts ambaye amekataa kuzungumzia
masuala ya kufutwa kwake kazi amesema muda mwingi analazimika kubaki nyumbani.
“Ninakaa nyumbani tu nikiendelea na kazi
nyingine, hivyo sasa siwezi kuzungumza lolote,” alisema.
Mholanzi huyo amefukuzwa kazi baada ya
Yanga kufungwa kwa mabao 3-1 na Simba katika mechi ya kirafiki ya Nani Mtani
Jembe.







0 COMMENTS:
Post a Comment