KATIBU MKUU SIMBA AKARIBISHWA KATIKA KIKOSI CHA MAWAKILI Katibu Mkuu wa Simba, Evodius Mtawala (kushoto) akikaribishwa na wakili maarufu nchini, Peter Swai katika kazi ya uwakili mara baada ya kuapishwa uwakili katika mahafali yaliyofanyika leo kwneye Viwanja vya Karimbee jijini Dar.
0 COMMENTS:
Post a Comment