December 1, 2013





Pamoja na kuwa na uwezo wa soka la kuvutia, Swansea imeshindwa kufurukuta na kuchapwa bao 3-0 na Man City.
 
Mechi hiyo ya kuvutia ilikuwa kutokana na Swansea kuonyesha soka safi lakini ikashindwa kufurukuta.

Mabao ya Man City yalifungwa na Samir Nasri (dakika za 58&77) aliyepiga mawili lakini kabla Nagredo alitangulia kufunga la kwanza katika dakika ya 8.
Sasa wamepanda hadi nafasi ya tatu wakiwa na pointi zao 25, hali inayozidi kuongeza ushindani.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic