December 1, 2013




 
WANYAMA AKICHUANA NA MATA
Pamoja na kufungwa bao la mapema, Chelsea iliamka na kujibu mapigo kwa kufunga matatu na kuilaza Southampton anayochezea Mkenya, Victor Wanyama.
 

Mabao ya Chelsea yalifungwa na Cahil, John Terry na Demba Ba ambaye alimalizia kazi.

Kutokana na ushindi huo na kwa kuwa Liverpool, Chelsea imevuka hadi nafasi ya pili ikiwa na pointi 27.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic