Manchester United imeamka,
imefanikiwa kuichapa Aston Villa kwa mabao 3-0.
Villa pamoja na kuwa
nyumbani imekumbana na kipigo hicho huku United ikionyesha kuwa kwenye fomu
leo.
Mabao ya United yamefungwa
na Danny Welbeck aliyepiga mawili na Tom Cleverly akamalizia
kazi.
Mechi nyingine ya mapema,
Swansea ilijikuta ikiambulia sare ya bao 1-1 dhidi ya Norwich iliyokuwa
nyumbani.







0 COMMENTS:
Post a Comment