BREAKING NEWS: OKWI ASAINI YANGA MIAKA MIWILI NA NUSU Mshambuliaji Emmanuel Okwi amesaini Yanga kwa miaka miwili. Yanga imemsainisha kwa miaka miwili na Bin Kleb AMETHIBITISHA. Tayari ITC ya Okwi imetua maana yake sasa ni mchezaji halali wa Yanga.
0 COMMENTS:
Post a Comment