Cristiano Ronaldo makumbusho ambayo amesafiri kutoka Madrid kwenda Madeira kuifungua.
Madeira ni kisiwa cha Ureno ambako alizaliwa na kukulia na wenyeji wameamua kufungua sehemu hiyo ya makumusho.
Ndani ya makumbusho hayo kutakuwa na mambo mbalimbali yanayomhusu tokea akiwa mdogo, alivyoanza kuchipukia katika soka hadi mafanikio.
Ndani ya ukumbi huo kutakuwa na jezi mbalimbali za Sporting Lisbon, Man United na Real Madrid.
Mkurugenzi wa uhusiano wa Real Madrid, Emilio ButragueƱo amesafiri na Ronaldo na ataiwakilisha klabu.








0 COMMENTS:
Post a Comment