BABI AKIWA NA KIKOSI CHA UITM FC |
Kiungo Abdi Kasim ‘Babi’ leo ataanza kuichezea timu yake ya UITM FC katika mechi ya Kombe la FA nchini Malaysia.
Babi amejiunga na UITM FC hivi karibuni akitokea KMKM ya Zanzibar.
Babi amesema anatarajia kufanya vizuri katika mechi hiyo ya kwanza ya Kombe la FA.
“Leo kwa mara ya kwanza natarajia kuichezea timu yangu katika Kombe la FA,” alisema Babi.
0 COMMENTS:
Post a Comment