Ndani
ya muda mchache imeelezwa klabu ya Simba itamtangaza Ezekiel Kamwaga kuwa
katibu mkuu mpya.
Kamwaga
atachukua nafasi iliyoachwa na Evodius Mtawala ambaye amepata ajira mpya kwenye
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
ASHA MUHAJI AKIWA NA KOCHA MSAIDIZI WA SIMBA, SELEMANI MATOLA |
Pamoja
na hivyo imeelezwa nafasi ya Ofisa Habari wa Simba, imechukuliwa na mwandishi
mkongwe, Asha Muhaji.
Muhaji
alikuwa mhariri msaidizi wa gazeti la Bingwa na inaelezwa kuwa atatangwaza
pamoja na Kamwaga.
0 COMMENTS:
Post a Comment