Manchester United iko katika hatua za mwisho kumsainisha Juan Mata ambaye sasa inaelezwa yuko kwenye helikopta kueleklea Old Trafford.
Mara baada ya kuingia mkataba huo mpya na Man United kumwaga pauni milioni 37 kwa Chelsea, ataanza mazoezi leo jioni.
Helikopta ya kukosi kutoka katika jiji la London hadi Manchester ndiyo iliyombeba Mhispania huyo kwenda kumaliza mambo.
0 COMMENTS:
Post a Comment