Libya imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Chan linaloendelea
nchini Afrika Kusini.
Libya imetinga fainali baada ya kuifunga Zimbabwe kwa mikwaju 5-4
ya penalti.
Timu hizo zilikwenda sare katika dakika 90 na baadaye 30 za
nyongeza.
Libya inasubiri mshindi kati ya Nigeria na Ghana katika nusu
fainali ya pili inayoendelea ili kupata mpinzani wa fainali, Jumamosi.
0 COMMENTS:
Post a Comment