Kiungo mpya wa Man United, Juan Mata
ameanza vizuri kwa kuingoza timu yake mpya ushindi wa mabao 2-0.
Mata ametoa mchango mkubwa lakini cha
kukumbukwa zaidi ni pasi yake ya bao la pili lililofungwa na Ashley Young.
Kabla ya hapo, Robin van Persie
aliyekuwa amerejea akitokea kuuguza majeraha, alifunga mapema bao la kwanza.
Baadaye van Persie alitoka na nafasi
yake kuchukuliwa na Wayne Rooney ambaye pia alikuwa majerudi.
0 COMMENTS:
Post a Comment