Azam
FC imeng’olewa kwenye michuano ya Mapinduzi kwa kuchapwa kwa mabao 3-2 na KCC
ya Uganda.
Kipigo
hicho katika hatua ya nusu fainali, kimeing’oa na kuivua ubingwa wa michuano
hiyo.
Azam
FC ambao ndiyo walikuwa mabingwa watetezi walishindwa kuonyesha cheche na
kuwapa nafasi Waganda kutawala zaidi mchezo huo.
KCC
sasa inasubiri mshindi kati ya Simba na Waganda wenzao URA kupata watakayecheza
naye fainali.
0 COMMENTS:
Post a Comment