Kiungo wa ulinzi wa timu ya Young Africans Athuman IddI Athuman ‘Chuji’ amerejeshwa kundini kuungana na wachezaji wenzake baada ya awali kuwa amesimamishwa na uongozi kutona na kitendo cha utovu wa nidhamu aliouonyesha mwishoni mwa mwaka jana.
Msemaji wa Yanga, Baraka Kizuguto amethibitisha hilo. Chuji alisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu.
0 COMMENTS:
Post a Comment