Inter Milan imesema
iko tayari kumtwaa beki wa kushoto wa Man United, Patrice Evra ikiwa ni siku
moja baada ya kumuona akicheza mechi dhidi ya Arsenal, jana Jumatano.
Hata hivyo
timu hiyo kongwe ya Italia haijatangaza iko tayari kumtwaa Evra kwa kiasi gani
ingawa inaonekana ndiyo dalili ya kuondoka United.
Upande
mwingine, jirani zao Kenya wako tayari kumtwaa kiungo Mkenta, VictoR Wanyama kutoka
Southampton ingawa kila kitu bado hakijawekwa wazi.








0 COMMENTS:
Post a Comment