Manchester United
imetua Dubai ikiwa ni siku moja tu baada ya sare ya bila kufungana dhidi ya
Arsenal.
Itaweka kambi
ya muda mfupi kwa mazoezi kabla ya kurejea
England.
Hapa
mshambuliaji Robin van Persie na beki Nemanja Vidic wakionekana kuwa ni wenye
furaha baada ya kugonga msosi pamoja.
0 COMMENTS:
Post a Comment