SALUM ABUBAKARI 'SURE BOY' |
BRYAN UMONYI |
KIPRE TCHETCHE |
KIPRE AKIWA NA PACHA WAKE, BOLOU |
Gari hizo pamoja na kuwa nzuri, zenye
kasi nzuri lakini kuna mambo haya ndiyo yanaonekana kuwavutia wachezaji hao.
1.
Udogo wa umbo, hazisumbui kupata sehemu
ya kuegesha, Dar es Salaam inajulikana kwa kuwa na usumbufu wa parking.
2.
Ulaji wake wa mafuta si wa juu sana,
hali inayowavutia hasa ikizingatiwa wanafanya mazoezi Chamazi ambako ni nje ya
mji kabisa
3.
Vipuli vya gari hizo haviwezi kuwa ghali
kama ukilinganisha na magari mengine aina ya Toyota yaliyotoka pamoja na IST,
mfano Brevis ambayo anamiliki Gaudence Mwaikimba.
0 COMMENTS:
Post a Comment