February 15, 2014



Aliyekuwa kocha wa Simba, Milovan Cirkovic amekabishiwa mkataba wa miaka miwili kuinoa timu ya taifa ya Mnyamar.



Milovan atakuwa kocha msaidizi ikiwa ni sehemu ya uongozi wa chama cha soka cha nchini hiyo pamoja na serikali kwa ujumla kutaka kujiimarisha zaidi kisoka.

Milovan amewasili nchini humo wiki moja iliyopita na kufanya mazungumzo chama hicho na baada ya hapo akasaini mkataba.

Pamoja na kuipa Simba ubingwa, Milovan aliondoka na rekodi ya kuingoza Simba kuifunga Yanga mabao 5-0.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic