Man United imezidi kudidimia baada ya kuaziacha pointi tatu
ugenini dhidi ya Stoke City.
Katika mechi hiyo ya Ligi Kuu England, Man United imechapwa bao
2-1, mfungaji wa mabao yote ya Stoke akiwa ni Adams.
Bao pekee la Man United limefungwa na van Persie ambaye
alipokea pasi ya Mata.
Hali hiyo inazidi kumuweka katika wakati mgumu Kocha David 'Daudi' Moyes ambaye mambo yake yamekuwa yakienda kwa kusuasua.
0 COMMENTS:
Post a Comment