Kocha wa Taifa Stars na Kili Stars, Kim Poulsen leo alikuwa
uwanjani kushuhudia mambo ya wachezaji kadhaa lakini atakuwa amefurahishwa
zaidi na Ramadhani Sinagano ‘Messi’ na Jonas Mkude.
Singano hakufunga, lakini pilika zake zilikuwa zaidi ya hatari,
lakini Poulsen akamsuhudia kiungo Mkude akipiga bonge la bao.
Maana yake ameona mengi, lakini vijana hao wawili wa Simba,
lazima watakuwa wamemkuna kocha huyo aliyekuwa uwanjani na meneja wake, Tasso
Mukebezi.
0 COMMENTS:
Post a Comment