David Beckham alifunga bao kutokea katikati ya uwanja wakati
Manchester United ikicheza dhidi ya Wimbeldon mwaka 1996.
Lakini Wayne Rooney amelipa baada ya kufunga bao akiwa umbali
wa mita 75 na ushee huku Beckham akiwa uwanjani anashuhudia bao hilo dhidi ya
West Ham.
Tayari bao hilo la Rooney limekuwa gumzo na baadhi wakisema
ni bora kuliko lile alilofunga Beckham mwaka 1996 kwa kuwa ni mbali zaidi.
|
0 COMMENTS:
Post a Comment