MASHABIKI WAKINUNUA JEZI ZA YANGA MJINI TABORA, SAA CHACHE KABLA YA MECHI YA MABINGWA HAO DHIDI YA RHINO. MECHI HIYO ILIMALIZIKA KWA YANGA KUSHINDA KWA MABAO 3-0. |
Na Ziwinji Ziifuma, Tabora
Mshambuliaji Emmanuel Okwi ameendelea kuwa gumzo kutokana na jezi zake kuuzwa kwa wingi katika mitaa ya mji huu.

Ingawa mashabiki pia wananunua jezi za wachezaji wengi wa Yanga au zile zisizokuwa na majina, lakini zenye jina la Mganda huyo zimewavutia watu wengi zaidi.
Hali hiyo ilijitokeza mjini Tabora wakati Yanga ikiwa mjini hapa kabla ya kuivaa Rhino.
Mashabiki wengi wa hapa, walionekana kuwa na hamu ya kumuona Okwi ambaye ametua Yanga msimu huu.
Kabla aliwahi kuchezea Simba kabla ya kuondoka na kujiunga na Etoile du Sahel ya Tunisia ambako Simba ilimuuza 'bure'.

0 COMMENTS:
Post a Comment