March 3, 2014


Mwigizaji Mkenya, Lupita Nyong’o ameendelea kutesa baada ya kubeba tuzo ya Oscar kupitia katika filamu maarufu ya 12 Years A Slave.

Pamoja na mwanadada Lupita, wengine waliochukua tuzo hiyo ya Oscar kupitia filamu hiyo ni pamoja na Brad Pitt ambaye ameshinda katika nafasi ya prodyuza.


Dairekta Steve McQueen pia aliibuka kidedea. Lupita amekuwa maarufu sana baada ya kufanya vizuri katika filamu hiyo.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic