Kocha wa Bayern Munich, Pep Guardiola amesema hana mpango wa
kuiacha timu hiyo na kujiunga na Man United.
Guardiola amesema hayo wakati akizungumza kwenye mkutano wa
waandishi wa habari kuhusiana na Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid,
kesho.
Kocha huyo wa zamani wa Barcelona, amesema hana mpango wa kuchukua
nafasi ya David Moyes ambaye amefukuzwa kazi leo asubuhi.
“Bado niko Bayern Munich, ninataka kubaki hapa kwanza,” alisema.
0 COMMENTS:
Post a Comment