May 16, 2014



Waandamanaji wamefanya maandamano makubwa yaliyosababisha kuzuka kwa vurugu zilizoingiliwa na askari polisi ili kuzituliza.

Maandamano hayo yalifanyika mjini Sao Paulo karibu kabisa na moja ya viwanja ambavyo Kombe la Dunia litafanyika na mechi kati ya England dhidi ya Uruguay itachezwa Juni 19.
Kumekuwa na maandamano mara kwa mara kupinga matumizi makubwa kuhusiana na matumizi makubwa ya kufanya maandalizi ya Kombe la Dunia wakati wananchi wa Brazil wanakosa huduma muhimu.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic