Zaidi ya mashabiki 80,000 wamejitokeza
kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu jijini Madrid wamejitokeza kuangalia mechi
ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Ingawa fainali hiyo ilikuwa inachezwa
jijini Lisbon, Ureno, mashabiki hao walijitokeza kwa wingi kwenye uwanja wao wa
nyumbani.
Hata hivyo walilazimika kukaa kimya kwa
dakika 90 kutokana na Atletico Madrid kuwa kiwembe na kupata bao mapema.
Segio Ramos alisawazisha kabla ya Bale,
Marcelo na Ronaldo kufunga mengine matatu na kuzaa matokeo ya ushindi wa mabao
4-1.
Real Madrid wamechukua kombe la 10 la Ligi
ya Mabingwa Ulaya.
0 COMMENTS:
Post a Comment