Katibu mkuu
wa zamani wa Yanga, George Mpondela amefariki dunia.
Taarifa
zinaeleza Mpondela aliyekuwa maarufu kama Castro amefariki dunia leo kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Uongozi wa
Yanga umedhibitisha kuhusu kifo cha Mpondela ingawa imeelezwa taarifa rasmi
itatolewa na familia yake jijini Dar es Salaam ili watu wajue wapi ulipo msiba
na taratibu za mazishi.
0 COMMENTS:
Post a Comment