Baada ya udhamini mpya wa Puma, sasa Arsenal
imebadili utaratibu wake na itakuwa ikiachia jezi mpya kila msimu.
Kwa mujibu wa Puma, itakuwa ikitoa jezi za aina
tatu tofauti kila msimu.
Chini ya udhamini wa Nike, kila jezi ya Arsenal
ilikuwa inadumu kwa misimu miwili.
Tayari jezi tatu za msimu ujao ambazo watatumia
Arsenal zimeishaanikwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment