July 23, 2014



CHELSEA IMEAMBULIA SARE YA BAO 1-1 IKILAZIMISHA KUSAWAZISHA KUPITIA JEREMIA BOGA KATIKA DAKIKA YA 84 KATIKA MECHI YAKE YA KIRAFIKI NCHINI AUSTRIA.


MECHI HIYO DHIDI YA AZ PELLETS IMEMALIZIKA HIVI PUNDE IKIWA NI SEHEMU YA RATIBA YA CHELSEA KUJIANDAA NA MSIMU MPYA.


WACHEZAJI KADHAA NYOTA KAMA CECS FABREGAS, FERNANDO TORRES NA DIEGO COSTA WALIKUWA BENCHI WAKATI KOCHA JOSE MOURINHO AKIJARIBU WENGINE WAPYA.

RZ Pellets: Kofler, Seebacher, Weber, Baldauf, Zulj, Ynclan, Trdina, Putsche, Standfest, Sollbauer, Drescher.
Scorer: Silvio de Oliviera 55.

Chelsea: Cech; Ivanovic, Zouma, Terry, Luis (Ake 60); Van Ginkel (Romeu 60), Matic (Chalobah 81); Salah (Swift 85), Baker (Boga 45), Brown (Christensen 77); Bamford (Solanke 60).
Unused substitutes: Beeney, Delac.
Scorer: Jeremie Boga 84.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic