July 21, 2014

TAIFA STARS JANA IMETOKA SARE YA BAO 2-2 DHIDI YA MSUMBIJI, NI KUWANIA KUCHEZA MICHUANO YA MATAIFA AFRIKA. ILIKUWA NI MECHI NGUMU INGAWA SI MATOKEO MAZURI KWA TANZANIA KWA KUWA UGUMU UPO KWENYE MECHI YA MARUDIANO. LAKINI KATIKA SOKA LOLOTE LINAWEZEKANA NA HAKUNA HAJA YA KUKATA TAMAA KWA KUWA KUNA WACHEZAJI WENGI WAZURI KAMA THOMAS ULIIMWENGU, MBWANA SAMATTA, MWINYI KAZIMOTO, JOHN BOCCO, SHOMARI KAPOMBE, NADIR HAROUB, MRISHO NGASSA, HARUNA CHANONGO NA WENGINE WENGI, KIKUBWA WAJITUME ZAIDI.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic